Umeshapata ebook ya kipaji ni dhahabu? hivi ndivyo unaweza kuipata


Juzi nilizindua ebook ya KIPAJI NI DHAHABU.

Ebook hii imeeleza kwa kina mambo yote unayohitaji kujua kuhusu kipaji.

Ndani yake Utajifunza kipaji ni Nini?

Namna ya kugundua kipaji chako

Namna ya kukiendeleza.

Jinsi ya kutengeneza fedha kwa kutumia kipaji chako.

Kipaji katika karne ya 21. Jinsi ya kutumia mtandao wa intaneti kwa manufaa na namna ya kuweka kipaji chako mtandaoni.

Mwisho kabisa nimeeleza kipaji na elimu.

Rafiki yangu, ebook hii imesheheni madini.

Halafu nilitaka kusahau kitu kimoja cha muhimu sana kwenye ebook hii. Kitu hiki ni kwamba nimeeleza namna ya kugundua kipaji cha mwanao.

Ewaaa! Yote haya na zaidi yapo kwenye e-book ya KIPAJI NI DHAHABU.

E-book hii inapatikana kwa elfu 5 tu. Tuma fedha kwenda  0684 408 755. Jina litatokea GODIUS RWEYONGEZA.

Ukishatuma, utanitaarifu kwa ujumbe mfupi ilu nikutumie e-book hii ya kipekee.

Karibu.

Umekuwa nami
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X