Mitandao Ya Kijamii Kama Dozi


Siku hizi mitandao ya kijamii imekuwa ni aina mpya ya dozi. Na dozi hii haitumiki mara mbili kwa siku au mara tatu.mtu anatumia dozi hii kadri anavyojisikia.

Na kuna mwingine aina hii ya dozi anaitumia ikiwa ya kwanza anapoamuka na bado anaendelea kuitumia siku nzima mpaka kulala.Je, hayo ni matumizi sahihi ya mitandao?

1. Jiwekee utaratibu wa kuwekeza muda wako kwenye mambo ya muhimu

2. Usiingie mtandaoni hovyohovyo kiasi cha kuharibu ufanisi wa kazi zako. Kuwa na utaratibu maalumu na ingia kufanya vitu vya maana.

3. Fanyia kazi vitu chanya unavyojifunza mtandaoni. kila la kheriKuna mafunzo nimekuandalia leo kwenye channel yangu ya Youtube. ingia hapa kujifunza.

👇Hivi Huu Mshangao Nilionao Na Wewe Unao? Au Kwako Ni Kawaida Tu?

TUWASILIANE 0755848391Usisahau KUSUBSCRIBE


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X