TAARIFA: Masomo Na Uchambuzi Kuhusu Soko La Hisa Kwa Siku 30 Zijazo


Leo rafiki yangu nina habari njema Sana. Unajua ni habari gani?

Ewaaa! Ni kuhusu uwekezaji kwenye soko la hisa. Kwa siku 30 zijazo kuanzia tarehe tarehe 1 aprili nitafanya kimoja kati ya vifuatavyo.
1. nitatoa uchambuzi Kuhusu mwenendo wa soko la hisa
2. Nitatoa mafunzo kuhusu soko la hisa
3. Nitajibu maswali yanayoulizwa kuhusu uwekezaji na soko la hisa.

Kila siku jioni nitakuwa natuma somo fupi Ila lenye funzo kubwa kuhusu soko la hisa. Na masomo haya yatatolewa kwa njia ya barua Pepe tu.

Hivyo, basi ili kujiunga na masomo haya fanya hivi: Jaza taarifa zako hapa chini ili uweze kuwa unapata mafunzo haya.

hakikisha umejaza taarifa zako kwa usahihi

Wakaribishe na wenzako wajiunge.

Karibu
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz

NB. Nashauri pia kama bado hujapata kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE ukipate leo. Gharama yake ni elfu tano tu.

Karibu.
Tuma elfu 5 sasa kwenda 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.


One response to “TAARIFA: Masomo Na Uchambuzi Kuhusu Soko La Hisa Kwa Siku 30 Zijazo”

  1. Hi,
    Ninajifunza mengi kupitia makala zako, Mungu akubariki uendelee kuelimisha Jamii Mr. Songambele.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X