Rafiki yangu kwa siku Sasa nimekuwa natoa kitabu cha bure. Itasikitisha sana endapo hutachangamkia hii ofa na kuchukua hiki kitabu.
Yaani, wewe ushindwe kupata kitabu cha kununua. Ushindwe hata kupata cha bure. Kweli?
Ebu chukua hatua Sasa hivi….
Kipate hapa
2 responses to “Ulipata kitabu cha bure?”
Napenda kusoma vitabu ivo basi nimeona ni changamkie hii fursa ya kupata kitabu Cha bure
Karibu sana. Upo sehemu sahihi