Vitabu Viwili Vya Kusoma Mwezi Machi 2022


Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. mwaka 2022 unaendelea kusogea mbele. na ninajua tangu mwaka huu unaanza moja ya lengo lako kubwa lilikuwa ni kuhakikisha kwamba unasonga mbele na unafanya makubwa.

Leo nataka nikueleze kuhusu vitabu viwili ambavyo vitakusaidia wewe kufanya makubwa, vitabu hivi ni

THE PYSCHOLOGY OF MONEY NA

 KIPAJI NI DHAHABU

Hivi ni vitabu viwili unavyopaswa kusoma ndani ya mwezi huu wa tatu.

THE PYSCHOLOGY MONEY

Kitabu hiki hapa kimeeleza kwa kina saikolojia ya fedha, na jinsi inavyofanya kazi kwenye maisha.

Kimeeleza kwa nini watu huwa wanafanya vitu ambavyo huwa wanafanya wakiwa na fedha.

Kwa mfano kwa nini watu wengine huwa wana mipango mizuri kuhusu fedha pale wanapokuw hawana fedha ila mipango hiyo inapotea pale ambapo wanapata fedha. Mwandishi kaeleza yote haya kwenye kitabu hiki hapa.

Uchambuzi wa kitabu hiki upo HAPA. na kitabu chenyewe kipo hapa.

KIPAJI NI DHAHABU

Hiki ni kitabu kingine muhimu sana unachopaswa kusoma ndani ya mwezi huu wa tatu. Kitabu hiki kimeelza kwa kina kuhusu kipaji na jinsi ambavyo unaweza kutumia kipaji chako katika kufanya makubwa kwenye maisha yako.

Unaweza kupata utangulizi na yaliyomo kwenye kitabu kwa kusoma hapa

Kupata kitabu hiki hapa utapaswa kulipia elfu 5 tu kwenda namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA, baada ya hapo nitakutumia kitabu hicho.

Q KIPAJI NI DHAHABU: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kutumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

Tutaongea

Ni mimi rafiki yako wa ukweli

Godius Rweyongeza

Tuwasiliane kwa 0755848391

Morogoro-Tz


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X