Vitu Vya Kuepuka Ili Uweze Kuishi Maisha Mazuri


Kwanza kabisa, hakikisha unaepuka kulalamika. Ukilalamika unakuwa unawanufaisha wale ambao wanakusikia.

Epuka kufuatilia maisha ya watu wengine

Epuka kutumia fedha yako yote ulyonayo bila kuweka akiba

Epuka kukopa. Tumia dfedha yako

Epuka kutumia fedha zaidi ya kipato chako

Epuka kumezwa na mitandao ya kijamii

Epuka kuianza na kuimaliza siku yako bila ya kuwa na malengo ambayo unayafnyia kazi

Epuka kuishi bila ya ndoto kubwa

Kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X