Day: April 1, 2022

  • KITABU CHA KISWAHILI CHA BURE

    Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema kuwa, rafiki yangu wa kweli ni yule ambaye atanipa kitabu. Nadhani huu usemi una maana kubwa katika ulimwengu wa leo kuliko hata alipousema.Ebu fikiria katika ulimwengu wa sasa ambapo kila mtu anapenda kupewa simu mpya na ya kisasa kama zawadi.Ulimwegu ambapo watu wanapenda kupewa zawadi ambazo ukifungua utaonekana kwa nje…

  • Jinsi Ya Kupakua Vitabu Bure Mtandaoni-2

    Kama umekuwa unajiuliza unawezaje kupakua vitabu mtandaoni, leo nimekuja na maelekezo yanayojieleza moja kwa moja kuonesha namna ambavyo unaweza kupakua vitabu mtandaoni. Kuna video ya kwanza ambayo ilitangulia hii.Kwa hiyo unaweza kutumia video hii ya kwanza au ukatumia video hii ya pili. Ila sana sana nashauri utumie hii ambayo nimekushirikisha hapa. Kila la kheri.

  • Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Mtaji Tanzania

    Utangulizi Vijana wengi wamekuwa wakitamani kuanzisha biashara zao ila sasa wamekuwa wanakwama jinsi gani ambavyo wao wenyewe wanaweza kuanzisha hizo biashara bila ya mtaji.  Kila  ninapoongea na vijana nagundua kuwa wapo wengi wenye ndoto kubwa za kufanya makubwa ila kuna ambao kama bado wamefungwa hivi. Na kitu ambacho kimewafunga walio wengi ni kufikiri kuwa bado…

X