Kitu Ambacho Hakuna Mtu Yeyote Anaweza Kufanya Kwa Ajili Yako


Pigana kwa ajili ya ndoto zako maana hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kufanya hivyo kwa ajili yako. Hakuna mtu wa aina hiyo.

unajua kwa nini?

Kwa sababu hakuna mtu AMBAYE anaweza kuiona ndoto yako kwa usahihi Kama ambavyo wewe mwenyewe unaiona. Wewe ndiwe unaona ndoto yako kwa usahihi.

Pili, kama wewe mwenyewe tu utashindwa kupambana kwa ajili ya ndoto zako, usitegemee kwamba kutakuwa na mtu mwingine ambaye anaweza kupambana kwa ajili yako.


2 responses to “Kitu Ambacho Hakuna Mtu Yeyote Anaweza Kufanya Kwa Ajili Yako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X