Rafiki yangu, moja ya kosa ambalo watu wanafanya kwenye kuweka malengo ni kuyanyima ukomo wa muda. Wanaaweka kama vile wataishi milele na milele. Unapoweka malengo yako hakikisha kwamba unayapa ukomo wa muda. Yaani kunakuwa na tarehe ya mwisho ya kuyafikia malengo haya. Na hili linapaswa kujionesha kwenye malengo yako unayoyaweka.
Kwa mfano unaweza kuandika hivi, kufikia tarehe 31 disemba mwaka huu ninamiliki gari aina XXX ya rangi nyeusi.
One response to “Malengo Yako Yawe Na Ukomo”
[…] Malengo Yako Yawe Na Ukomo […]