Jinsi Ya Kuweka Oda ya Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO


Hello! Bila shaka unaendelea vyema. Kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO (hardccopy) kitatoka rasmi tarehe 20.5.2022

Hili ni toleo la pili la kitabu hiki cha kipekee.

Karibu uwe miongoni mwa watu ambao watapata nakala ya kitabu hiki.

Kwa wakazi wa mikoa ya Dar, Pwani na Morogoro mtafikishiwa nakala popote pale mlipo.

Kama upo nje ya hiyo mikoa, utatumiwa nakala mpaka ikufikie.

Nakala moja inauzwa kwa gharama ya 20,000/- Ila ukiweka oda leo hii utakipata kwa 15,000/- tu.

Na hii ni kwa wale tu watakaoweka oda! Baada ya hapo hutaweza kupata kitabu hiki kwa Bei ya 15,000/-.

Save 5,000/- kwa kuweka Oda ya kitabu.

Sisi tutakufikishia kitabu tarehe 20 au siku moja baada ya kitabu kuzinduliwa.

Cha kufanya nitumie ujumbe wenye jina lako na mahali ulipo…
Tarehe 20. Tutakufikishia hiki kitabu.

  1. Godius Rweyongeza 0755848391 (Morogoro Mjini-Morogoro)

2.

  1. 4.
    5. Soma hiki kitabu, utaona kwa nini 2022 haitakuwa sawa na 2022!


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X