Kundi Maalumu Kwa Ajili Ya Uzinduzi Wa Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO


Hello, nimetengeneza kundi maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO toleo la pili.Kama umeweka oda ya kitabu ingia kwenye hili kundi ili uendelee kupata updates kuhusiana na kitabu Pia kama hujaweka oda ingia kisha weka Oda.Twambie jina lako. Namba yako ya simu naUko wapi Mfano:Godius Rweyongeza 0755848391 (Morogoro mjini; Morogoro)Kitabu kitazinduliwa tarehe 20 Mei, 2022. Na nakala zitaanzia kusambazwa siku hiyohiyo kwenda maeneo mbalimbali hapa nchini.Kwa wakazi wa Dar,Morogoro na Pwani utafikishiwa nakala yako ofisini au nyumbani kwako.Bei ya kitabu ni 20,000/- Ila ukiweka oda utakipata kwa 15,000/- tu.Kuna bonus zaidi kwa watakaoweka oda tu.Kujua kuhusu hizi bonasi, jiunge kwenye kundi letu hili hapa ili uendelee kupata updates.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X