Mazoezi Ndio Kila Kitu


Leo nimekumbuka msemo mmoja wa kilatini. Unasema repetitio est mater studiorum .
Ukimaanisha repetition is the mother of study.

Tukiwa o-level walimu wetu walipenda kuutumia sana kutuhamasiaha ili tusome kwa bidii na kwa kurudia mara kwa Mara kile tunachosoma.

Kadiri unavyofanya mazoezi na Tena kwa marudio, ndivyo unakuwa unaelekewa kwenye ubobevu

Kumbuka repetitio est mater studiorum.

Na Ni kweli repetition huwa haimwangushi mtu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X