Habari ya upande wa huko
Godius Rweyongeza hapa kwa mara nyingine. Leo kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa sita mchana nitakuwa live kupitia FADECO FM.
Nitazungumzia kuhusu mchango wa smartphone kwa mfanyabiashara na jinsi unavyoweza kutengeneza fedha mtandaoni.
Unaweza kufuatilia kipindi kupitia 100.8 FM au mtandaoni kwa KUBONYEZA HAPA
Godius Rweyongeza kutoka SONGAMBELE
0755848391
Morogoro-Tz