Unaendeleaje rafiki yangu, bila shaka kila kitu kinaenda vyema kabisa. Leo hii nina habari njema kwako..
Habari njema kuhusu kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto ZAKO.
Kitabu hiki ambacho kinaenda kuzinduliwa tarehe 20 Mei.
1. Usichokijua kuhusu hiki kitabu ni kwamba watu wanaendelea kuweka oda ya kitabu hiki.
Ukiweka oda unapata kitabu hiki Cha kipekee kwa bei ya punguzo. Yaani, badala ya wewe kununua hiki kitabu kwa 20,000/- unakipata kwa 15,000/- tu. Kitabu hiki utatumiwa popote pale ulipo Duniani.
2. Usichokijua kuhusu kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO ni kwamba kitabu hiki kinapatikana kwa ;
Mfumo wa nakala ngumu (hardcocopy) ambayo gharama yake ni 20,000/- ila ukiweka oda unakipata kwa 15,000/-
Kuna na audiobook yake pia. Ambaye utaipata kwa 15,000/- Ila ukiweka oda utaipata kwa 10,000/-
Unaweza kusikiliza sample ya audiobook hapa
Hivi eti kwa mfano unashindwaje kupata nakala yako.
Ebu weka Oda yako sasa hivi. Andika jina lako hapa chini
Mfano: Godius Rweyongeza 0755848391 (Morogoro mjini-Morogoro)
Weka oda yako leo, upate nakala ya kitabu kwa bei ya punguzo