Zawadi hii utaipata endapo utaweka Oda ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO tu.


Habari ya upande wa huko. Bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Leo hii nina zawadi ila sasa hii zawadi siyo ya kila mtu. Hii zawadi ni kwa ajili watu wachache ambao wanataka kupiga hatua na kufika mbali.
  watu wenye ndoto kubwa
  watu ambao wanazifanyia kazi ndoto zao kwa KUTUMIA mwongozo sahihi

Kiufupi hii zawadi itawaendea wale wote watakaoweka oda ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Kitabu hiki Cha kipekee kitazinduliwa tarehe 20 Mei. Na kila mtu aliyeweka oda siku hiyo atatumiwa kitabu popote pale alipo.

Kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO kinagharimu 20,000/-
Ila kwa wale ambao wataweka oda watakipata kwa gharama ya 15,000/- tu.

Oda inawekwa kwa kutuma ujumbe wenye
Jina lako.
Namba yako ya simu na
Mahali ulipo

Mfano, GODIUS RWEYONGEZA 0755848391 (Morogoro mjini-Morogoro).

Nitumie huu ujumbe kwa SMS/WhatsApp 0755848391

Sasa acha tuongelee zawadi yangu kwako basi.

Zawadi hii ni ya ebook inayoitwa MAAJABU YA MTANDAO WA INTANETI.
Ndani ya hii ebook utajifunza

Umuhimu wa smartphone kwa mfanya biashara na mtu mwenye ndoto kubwa.

Namna ya kuutumia mtandao wa intaneti kwa manufaa ili kuifanikisha ndoto yako

Jinsi ya kujiweka mtandaoni mapema kabla ya wateja wako

Mtandao wa intaneti kama sehemu ya kukuingizia kipato

Na mambo mengine mengi…

Nataka niitoe hii ebook kwa watu wenye ndoto kubwa kwa sababu,

Siku hizi mambo yamebadilika. Mtandao umekuwa na nguvu kubwa. Sasa sitaki wewe na ndoto yako kubwa uachwe na haya mabadiliko.

Ukipata hii ebook maana yake utaweza kufanyia kazi ndoto yako vizuri, tena ukiunganisha na NGUVU YA MTANDAO WA INTANETI! Mambo yatakuwa ni 🔥🔥! Tutakutana kwenye hii ebook.
Haya yote utayapata tarehe 20 Mei 2022.

Cha kufanya. Weka oda yako leo.
Kitabu kama kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO kinagharimu shilingi 20,000/- Ila ukiweka oda utakipata kwa 15,000/- za Kitanzania tu. Uko tayari!

Unaweza kujiunga na kundi letu la watu walioweka oda tu.
Kujiunga bonyeza hapa


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X