Audiobook Ya Kitabu Cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA Sasa Ipo Tayari


Moja ya kitabu muhimu ambacho nashauri usome ni kitabu Cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA.

Kitabu hiki kimegawanyika kwenye sehemu kuu tatu.
Sehemu ya kwanza inaeleza kwa Nini unapaswa kufikiri kikubwa lakini kuanza kidogo. Sehemu hii Ina sura sita.

Sehemu ya pili ina inazungumzia kuhusu namna mafanikio makubwa yanavyoanzia kwenye tabia. Sehemu hii ina sura tatu.

Sehemu ya tatu imeeleza kuhusu mitaji 21 iliyokuzunguka na jinsi ya kuitumia. Sehemu hii Ina sura nne.

Sasa habari njema ni kuwa audiobook ya kitabu hiki ipo tayari.

Nimekuwa nikiongea sana kuhusu kitabu Cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA. Sasa leo acha nikiache kiongee chenyewe. Sikiliza hapa

Kwa sasa utakipata kwa elfu kumi tu. Rusha elfu kumi kwa 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.

Hii Ni ofa ya muda mfupi tu

Karibu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X