Hivi Ndivyo Tunaweza Kufanya Biashara Za Kitanzania Zikue Zaidi


Kwa Dakika moja Tu Leo Nataka Nikwambie Ni Kwa Namna Gani Unaweza Kufanya Biashara ya Rafiki Yako Ikue Zaidi Na Zaidi Ya Ilivyokuwa Mwanzo.

Njia hii ni kununua kwake. Hii ndio njia bora nay a kipekee sana. Maana kwa jinsi hiyo utamfanya mwenye biashara apate kipato cha kumwezesha kuikuza biashara yake

Kwa hiyo badala ya kukaa kwenye kikjiwe na kupiga majungu. Badala ya kumakatisha tamaa mpambanaji, ebu sikiliza, nenda kanunue kwake. Hicho ni kitendo cha kiungwana ambacho unaweza kufanya na kufanya biashara ya rafiki yako ikue.

Ifikie hatua watu tuache kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Tununue bidhaa kutokea hapahapa kwetu. Na njia ya kufanya hivi ni kumsapoti mwezako anayefanya kitu kizuri

Ni hivyo tu.

Kama umeilewa hii makala basi nenda kamsapoti mwenzako badala ya kupiga majungu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X