ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA PIA


Leo kwenye status ya moja za rafiki yangu aliweka picha ikionesha jinsi bei za vyakula zilivyokuwa chini siku za nyuma. Unaweza kuona mwenyewe picha yenyewe hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Ukiangalia hapo utagundua bei zilikuwa chini kweli!
Maziwa yalikuwa shilingi 100. Bei ya maji ya kandoro kwa sasa ๐Ÿ™ˆ! Sijui maji ya kandoro kipindi hicho yalikuwa yanauzwa shilingi ngapi๐Ÿค”.

Au basi..

Kitu kikubwa ninachotaka kukwambia leo ni kwamba Zama Zimebadilika! Na bado zitazidi kubadilika.

Wewe pia unapaswa kubadilika.

Najua wengi wanapenda mabadiliko ila ambao wako tayari kuchukua hatua kupata hayo mabadiliko ni wachache sana, yaani, wachache mno.

Kitu cha kufahamu ni kuwa mabadiliko kwenye maisha lazima yatatokea.
Wewe unapaswa kuwa sehemu ya mabadiliko hayo.

Na njia nzuri ya kufanya mabadiliko Ni kutumia nguvu ya vitu vidogo.

Hii Ni falsafa kubwa ambayo nimeeleza kwenye kitabu changu cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA.

…..njoo ujipatie nakala ya kitabu hiki. Nina hakika hutajutia maishani mwako.

Uwekezaji wa kitabu hiki ni moja ya uwekezaji wa kipekee ambao unaweza kuufanya.

Ukiitumia NGUVU hii ya VITU VIDOGO hakuna ambacho kitakushinda hapa duniani.

Ebu chukua hatua leo. Upate nakala yako leo rafiki yangu.
Nakala moja gharama take Ni 20,000/-

Tuma fedha Sasa kwa 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA


One response to “ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA PIA”

  1. […] Kwenye makala niliyotuma kwa watu wa nguvu ambao huwa wanapokea makala zangu kwa njia ya email jana. Niliandika kwamba zama zimebadilika na wewe unapaswa kubadilika. Kama hujajiunga na mfumo wetu wa kupokea makala kwa njia ya barua pepe nina hakika huo ujumbe hukuuona,ย  hivyo, leo nimelazimika kuuweka huo ujumbe kwenye blogu yetu hapa ili na wewe uweze kuuona na kikubwa zaidi ni kwamba uweze kunufaika nao. Hivyo unaweza kuusoma kwa kubonyeza hapa rafiki yangu. […]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X