Leo nataka nikupe hatua nane za kuwa mwandish mbobevu.
1. Andika
2. Kila
3. Siku
3. Hata
4. Kama
5. Ni
6. Sentensi
7. Moja
8. Tu.
Rafiki yangu unakwama wapi kwenye kuandika. Naamini kwa siku huwezi kukosa hata dakika tano tu za kuanadika hata kama unaandika kitu kidogo.
Unahitaji kuandika kila siku kwa sababu kadiri unavyoandika kila siku ndivyo unavyozidi kubobea zaidi kwenye uandishi wako.
Je, upo tayari kuanza marathon ya uandishi? Basi anza leo hii kwa kuandika hata utambulisho wako kwa kifupi na kitu ambacho utakuwa unaandika.
Unaweza kunishirikisha kwenye whatsap 0755848391
Godius Rweyongeza
One response to “Hatua Nane Za Kuwa Mwandishi Mbobevu”
Ninayo furaha tele kuweza kupata mtu awezaye kutuamsha jambo ari la kuandika.Maana mathalan mimi Nina haja sana ya kuandika,hasa katika Mkondo wa Kiswahili.Hivyo itakuwa bora zaidi nikiendelea kuongea na kushirikiana nanyi hadi nibobee kabisa.