Rafiki yangu mpendwa unaendeleaje. Kwenye mojawapo ya makala ambazo nimewahi kuandika hapa siku za nyuma nilieleza kuwa nina kitabu cha MY STORY cha Mohmmed Ibn
Sasa watu wengi wamekuw wananiomba niwatumie hiki kitabu, leo nimeona nikwambie kwamba unaweza kupata hiki kitabu. Kama utakaitaka basi nitumie ujumbe kwa njiaa ya baruapepe ili nikutumie.
Baruapepe yangu ni godiusrweyongeza1@gmail.com au songambele.smb@gmail.com
Kichwa cha habari andika KITABU CHA MY STORY