Kifanye Leo hata kwa udogo


Kama hukuweza kufanya kitu ulichopanga kufanya Jana, Basi amua kukifanya leo.

Ukiendelea kuhairisha kwa siku nyingi hicho kitu hutakaa ukifanye.
Ni Bora ukifanye Leo hata Kama utakaofanya kwa udogo.

Kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X