Endelea kuweka juhudi, hakuna kitu chochote ambacho unafanya ambacho kinapotea bure.
Baadhi ya vitu unaweza usione matokeo Sasa Hivi.
Ila kadiri unavyoendelea KUWEKA juhudi matokeo utayaona.
Watu wengi huwa wanakata tamaa mapema pale wanapoanza kufanyia kazi kitu.
Ila Cha kufahamu I kubwa haupaswi kurudi nyuma.
Endelea KUWEKA juhudi kila Mara.
Kadiri unavyoweka juhudi, Ndivyo unakuwa unazidi kuikaribia ndoto yako.
Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio.

