Mwonekano wa Bustani Yangu


Leo asubuhi nilienda bustanini kwangu. Wakati nikiwa bustanini, nilimtafuta rafiki yangu ambaye katika kuchati naye nikamwambia nipo bustanini. Na hapo nikamrekodia video fupi ya mwonekano wa Bustani yangu.

Sina shaka na wewe ungependa kuiona. Na hata pengine kusema mawili matatu kuhusu hii Bustani.

Japo nilikuwa sijapanga kurekodi video siku ya leo. Ila naamimi utakachoona utapata kitu hata Kama ni kidogo.

Mpaka wakati mwingine

Mimi Ni GODIUS RWEYONGEZA (Songambele)


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X