Rafiki yangu, hivi unajua kwamba huwa natoa baadhi ya mafunzo kwenye channel yangu ya youtube? Mara kwa mara nimekuwa nikitoa mafunzo huku. Na wewe unaweza kuyafuatilia kupiatia hapa.
Subscribers kwenye channel hii walikuwa bado hawajafika hata elfu moja ๐๐, ila wiki hii ni muda wa kufanya hivyo, au wewe unasemaje?
Bado watu 50 tu. wewe ukiongezeka sasa hivi watakuwa bado 49. Ebu tuhakikishe kwamba wiki tunafikisha subscribers elfu moja kwenye channel ya youtube. Bonyeza hapa kufanya hivyo.
Tukutane tarehe 16 tukiwa na subscribers elfu na zaidi.