Hivi ndivyo unapaswa kugawanya muda wako Kama una ndoto kubwa


Rafiki yangu mpambanaji, bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Hongera sana kwa hilo. Siku ya leo ningependa kuongea na wewe machache  rafiki yangu mwenye ndoto kubwa.

Ukweli ni kuwa inachukua muda kufikia mafanikio makubwa: unapaswa kuyapambania mafanikio Yako makubwa Kama vile hakuna Kesho. Muda wako wewe mpambanaji unapaswa kuwa umegawanywa sehemu za muhimu tu.

Muda wa kufanyia kazi ndoto zako. Hapa unafanya kila linalowezekana kuhakikisha umezipambania ndoto na malengo Yako kila wakati. Unafanya kazi kwa bidii na haurudi nyuma
Inachukua Muda kufikia ndoto kubwa Ila inawezekana.

PILI ni muda wa familia au watu wako wa KARIBU. Huu Ni muda mwingine ambao unapaswa kuwa KARIBU na familia yako au watu wako wa KARIBU.

Ni hivyo tu. Vingine vilivyo nje ya hapo havipaswi kupata muda wako.
Weka muda wako, NGUVU zako na Akili zako kwenye hivyo vitu viwili tu.

Nina vitabu viwili vinavyokufaa sana wewe mpambanaji. Kwanza ni JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO

Na pili Ni kitabu Cha mwongozo wa wapambanaji. Hustlers Guide. Hivi vitabu viwili hivi, vina mwongozo na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kufanyia kazi malengo na ndoto zako mpaka vikatimia. Cha kufanya hapa Ni kitu kimoja tu. Wasiliana nami kwa 0755848391 ili uweze kupata Nakala zako mapema.

vitabu vyote viwili Ni 30,000/- kimoja ni hardcocopy (JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO) NA gharama yake Ni 20,000/-

na mwongozo wa wapambanaji ni softcopy. Gharama yake ni 10,000/-. Vipate vyote, utanishukuru baadaye.

Nakutakia kila la kheri.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X