Karibu Kwenye Semina Ya Kufanya Makubwa Mwaka 2023: Fanikisha Ndani Ya Miezi Sita Kile Ambacho Wengine Huwa Wanafanya Kwa Mwaka Mzima


Rafiki Yangu mpendwa, bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Moja ya jambo la msingi kabisa ambalo unahitaji kuhakikisha kwamba umelifanya kwenye maisha yako ni kujenga utaratibu wakujifunza. Kujifunza kunaweza kuwa kupitia kusoma vitabu, kusikiliza mafunzo ya sauti au mafunzo ya vitendo pamoja na semina.

Kwa kulitambua hili, mwaka huu tutakuwa na semina ya ana kwa ana ambayo itafanyika tarehe 24 juni. Itakuwa ni siku ya jumamosi na itafanyika hapa mkoani Morogoro.

Lakini kabla sijajuelez zaidi kuhusu semina, ebu kwanza tuongee kuhusu uhitaji wa wewe kufanya makubwa.

Eb u pata picha malengo uliyoyaweka ndani ya mwaka huu 2023, je, kuna hatua ambazo unaona unapiga? Je, unaona kwamba unaweza kuwa unapiga hatua zaidi lakini haujui ni kwa namna gani ambavyo unaweza kupiga hizo hatua zaidi?

Je, unajiuliza ni vitu gani ambavyo vinahitajika kwako ili kuhakikisha kwamba unapiga hatua na kuweza kufanya makubwa, naam, makubwa sana.

Nalijua hilo nap engine hilo siyo kwamba linakusumbua wewe peke yako, ni jambo ambalo linawasumbua wengi. mtu anakuwa na malengo, anaweka malengona anaanza kuyafanyia kazi, ila sasa mwisho wa siku mtu huyo anashindwa kuyafanyia kazi malengo yake mpaka kufikia mwisho. Ukifuatilia kwa undani unaweza kugunda kuwa kuna vitu viwili ambavyo vinamzuia mtu.

Msukumo wa ndani wa kufanikisha kile alichopanga au

Kukosa mbinu sahihi za kumwezesha kufanikisha malengo yake.

Kwa kulitambua hilo, nimekuandalia semina ambayo inaenda kuchoche moto wa wa wee kufanya makubwa na kuweza kufanikisha malengo yako ndani ya mwaka 2023.

Semina hii inaitwa SEMINA YA KUFANYA MAKUBWA, siyo kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kuna maana yake.

Kwenye hii semina tunaenda kujifunza namna ambavyo unaweza kufanikisha makubwa ndani ya miezi sita, wakati wengine huwa wanafanyia kazi hayo kwa miaka mmoja mpaka miaka miwili. Unaweza kujiuliza hili linawezekanaje. Kiufupi ni kwamba linawezekana maana tumekuwa tukililifanyia kazi kwa muda sasa, kinachofuata ni kuhamishia kile ambacho tumekuwa tukikifanyia kazi kwako ili na wewe uweze kukifanyia kazi kwa muda mfupi kuliko ambavyo umekuwa ukitegemea.

Sambamba na hilo kwenye hii semina tunaenda kujifunza mambo mengine mazuri ambayo yatabadili maisha yako na mwelekeo wa maisha yako kiujumla.

Tunaenda kujifunza juu ya safari ya kuelekea uhuru wa kifedha, kwenye hii semina tutaona namna ya kuianza safari hii hatua kwa hatua, tutaona namna ya kuendedelea na hii safari na hatimaye kuhakikisha kwamba hii safari inakamilika.

Lakini siyo kwamba tutaishia hapo, tutaona namna ya kuamsha uwezo ulioala ndani yako na kuutumia kwa viwango vya juu ili uweze kufanikisha hayo yoooe ambayo tumekuambia.

Kuna watu ambao huwa wanaogopa kwamba hivi vitu, vinaweza visifanye kazi. tutaona namna ya kuondoa hofu ya kufanyia kazi malengo na ndoto zako na namna ambavyo unaweza kuwa na maisha unayotaka baada ya kuwa umeondoa hiyo hofu.

Hatutaishia hapo tu kwa wale walio kwenye mahusiano, tutaona namna ambavyo mnaweza kufanikiwa kifedha mkiwa kama wenza.

Kiufupi hii semina itakuwa imejaa mengi kwa ajili yako. Na itakuwa ni semina ya siku nzima. Semina hii itaanza saa moja asubuhi na itamalizika jioni saa 12.

Tutakuwa na siku moja nzima ambapo tutjitenge na uliwewengu na kukaa kwenye mazingira ambayo tutajifunza namna ya kupindua mambo mengi kwenye maisha yetu.

Baada ya hii semina, kitakachofuata ni kuchukua hatua na kufanyia kazi yale tutakayokuwa tumejifunza.

Hivyo, sasa naomba rasmi nichukue nafasi kukukaribisha kwenye semina hii ya kipekee.

SEMINA HII ITAFANYIKA hapa morogoro,. Itafanyika siku ya jumamosi, na itakuwa ni semina ya siku nzima kuanzia saa moja asubuhi mpaka jioni. Chakula na bites vyote utapata kwenye hii semina.

Gharama ya semina hii itakuwa ni shilingi 50,000/-

Na mwisho wa kufanya malipo kwa ajili ya semina ni tarehe 15.6.2024

Karibu sana kwenye semina ya kufanya makubwa mwaka 2023. Mwaka 2023 haturembi mwandiko!

Kwa kumalizia ningependa kukumbusha mambo machache tu.

  • Semina itafanyika tarehe 24, Juni, 2023.
  • Itakuwa ni siku ya jumamosi
  • Itafanyika kuanzia saa moja asubuhi mpaka jioni saa 12
  • Gharama ya semina ni 50,000/-
  • Chakula na bites vitakuwepo.

Cha kufanya ni wewe kuthibitisha malipo yako sasa hivi. zifuatazo ni namba ambazo zitatumika kufanya malipo ya semina.

*NMB: 22110047274 JINA NI GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA*

*Mpesa: 0755848391*

*Airtel money: 0684408755

*JINA NI GODIUS RWEYONGEZA*

Kitu cha kufanya leo.

Siku ya leo fanya kitu kimoja tu rafiki yangu.

Tuma ujumbe wa kuthibitisha ushiriki wako kwenye semina. Tuma ujumbe huu kwenda whatsap

0755848391  au bonyeza hapa

Kisha niambie, utalipia kwa mpango gani.

Utalipa kiasi chote kwa pamoja au takuwa unalipa kila wiki, au kila mwezi na kiasi gani utakuwa utakuwa unalipia?

Tuma ujumbe wako hapa

Mfano:

*Mimi GODIUS RWEYONGEZA nathibitisha kushiriki semina ya mwezi wa sita*

*Nitalipia kiasi chote kwa pamoja tarehe 15 MACHI, 2023.*

*JIUNGE NA KUNDI LA WALIOTHIBITISHA KUHUDHURIA*

https://chat.whatsapp.com/Je9AhwPiuwbGX3HeWTPGwG

Karibu sana


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X