Tumezindua audiobook mpya, haya hapa ni mambo ya msingi ambayo unahitaji kuyajua.


Rafiki yangu mpedwa kwa mara ya kwanza kabisa mwaka jana tulizindua audiobook ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. ilikuwa ni audiobook ya kwanza ya kiswhili, Tanzania kama siyo Afrika Mashariki nzima. Watu wengi waliichangamkia hii audiobook, kitu kilichonifanya nione kwamba kuna uhitaji mkubwa wa hizi audiobook, kutokea hapo tumeendelea kutengeneza audiobooks za vitabu tofautitofauti. Ambapo mpaka sasa hivi tumetengeneza audiobooks zifuatazo.

1. JINSI YA KUFIKIA NZOTO ZAKO ina urefu wa saa 2 dakika 57 (sample ya audiobook hii iko hapa chini)

Hii ni sample ya audiobook, audiobook kamili ipo na ina urefu wa saa 2 dak 57. TUwasiline kwa 0687408755

2. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKA MAFANIKIO MAKUBWA (ina urefu wa saa 3 dakika 37) pamoja (sample ya audiobook hii iko hapa chini)

3. MAISHA NI FURSA: ZITUMIE ZIKUBEBE ina urefu wa saa 5 dakika 06 (sample ya audiobook hii iko hapa chini)

Audiobook ya kitabu cha maisha ni fursa, tuliizindua mwishoni mwa mwaka jana.

Kitu kimoja ambacho nimekuja kugundua kwenye utengenezaji wa audiobooks ni kwamba watu ambao wanaonja utamu wa kusikiliza vitabu kwa sauti, hawataki kuacha hata kidogo. Hili nimeliona mwenyewe, maana wale waliopata kusikiliza audiobook hizo tatu hapo juu, wamekuwa wakinipigia au kunitumia jumbe kila mara kutaka kupata audiobooks nyingine zaidi.

Na kitu hiki kimenisukuma kuandaa audiobook nyingine mpya na hivyo leo nina furaha kubwa sana kukutangazia kuwa tumezindua audiobook ya kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO.

Audiobook hii ni ya kipeke sana na ambayo nashauri uhakikishe kwamba umeipata, tena sasa hivi.

Ina urefu wa saa 4

Imesomwa na Fadhil Kirundwa ambaye amekuwa anasoma audiobooks zetu za siku za nyuma.

Unaipata kwa telegram

Na gharama yake ni 15,000/-.ila habari njema ni kwamba endapo utafanya malipo siku ya leo. Basi hii audiobook utaweza kuipata kwa ofa ya shilingi 10,000/- tu. Malipo yote yafanyike kupitia namba ya simu ya 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.

Ukishafanya malipo. Tuma ujumbe kwa namba hiyohiyo ili uweze kutumiwa audioboook yako.

Utapokea audiobook yako ndani ya dakika tano tu baada ya kuwa umefanya malipo. Karibu sana.


2 responses to “Tumezindua audiobook mpya, haya hapa ni mambo ya msingi ambayo unahitaji kuyajua.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X