Wengi Huwa nikiongea nao KUHUSU bei za vitabu kitu cha kwanza kabisa ambacho huwa wananiuliza ni ukubwa wa kitabu.

Utakuta mtu anauliza, kitabu chako kina kurasa ngapi?

Hapo ni baada ya Wewe kumwambia bei ya kitabu labda ni 20,000/-

Sasa Jana nilienda kununua hicho kitabu hapo juu👆🏿.

Kitu Cha kwanza nilichogundua ni kwamba, kitabu SI kikubwa sana.

Nina hakika Kwa ukubwa WA kitabu hiki, Kuna watu wangeweza kuuliza MASWALI Kwa Nini kitabu kiwe na bei kubwa hivyo….

Ukweli ni kwamba bei za vitabu hazipangwi kuendana na ukubwa wake.

KWENYE kitabu CHANGU Cha JINSI YA KUWA MWANIDHI MBOBEVU nimeeleza vitu vitatu ambavyo Huwa vinasaidia waandishi kupanga bei.

Vitu hivyo ni
1…..
2….
3….

Kujua vitu hivi, basi nashauri upate kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU Kwa 15,000/- tu (hardcopy)

Utanishukuru baada ya kusoma kitabu HIki.

Namba ya malipo ni 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

Karibu sana


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X