
Juzi nilitangaza semina yetu ya mwisho kwa mwaka huu a 2023. Semina hii ambayo inaenda kufanyika tarehe 24-30, inaenda kuwa ni moja ya semina ya kipekee sna ndani ya mwaka huu. Inaenda kujenga msingi imara wa kujenga utajiri wa kifedha kwa washiriki wake. Ni semina ambayo inaenda kuleta mapinduzi makubwa. Kiukweli ni semina ambayo haupaswi kuikosa. Kuna mengi utapata.
Moja ya kitu kikkubwa kinachonisukuma mimi nikwambie hivi ni kwa sababu unaenda kujifunza misingi ya kuongez akipato chako mara mbili ndani ya mwaka mmoja.Ndio, hili ni lengo ambalo tunalo kutoka kwenye semina ya ana kwa ana iliyofanyika MOROGORO. Hivyo, kwenye hii semina tunaenda kuongezea nondo zaidi ili kuhakikisha kwamba kila mmoja anafikia lengo lake la kuwa na kipato mara mbili zaidi ndani ya mwaka mmoja.
Utasjikiaje kama wewe utakuwa mmoja wa watu ambao wanaenda kuongeza kipato chao mara mbili ndani ya mwaka mmoja? Utajisikiaje kama utakuwa ni mmoja wa watu ambao kufikia juni, 29 2024 utakuwa na kpiato mara mbili zaidi ya sasa.
Naamini wewe ni kama mimi utajisikia vizuri sana. Hivyo basi, nikushauri kitu kimoja tu. na kitu hiki ni kwamba, shiriki semina hii ya kuongeza kipato chako mara mbili ndani ya mwaka mmoja 2023/2023. Hii semina utaipenda sana.
Mada zitakazofundishwa kwenye semina hii ni
SIKU YA KWANZA:
KARIBU KWENYE SEMINA YA KUONGEZA KIPATO MARA 2
Katika hii siku tutaona
Kwa nini unahitaji kuongeza kipato chako mara 2
Hatua sita Muhimu za kufuata ili uongeze kipato chako mara 2 ndani ya mwaka mmoja
Jinsi ya kuweka yatakayokupelekea kuongeza kipato chako mara 2
SIKU YA 2
Vyanzo muhimu vitakavyokuwezesha kuongeza kipato chako mara mbili NDANI YA MWAKA MMOJA
Jinsi ya kutumia kanuni ya 20/80 kwenye kujenga kipato chako mara 2 ndani ya mwaka mmoja.
Siku ya tatu: JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA
Ndani ya hii siku tutazama ndani zaidi na kuona….
Kwa nini unahitaji kutengeneza mshahara wako mwenyewe (nje ya mshahara ya mshahara wa kawaida)
Namna ya kutengeneza mshahara nje ya mshahara
Uwekezaji. Msingi mkuu wa kutengeneza mshahara nje ya mshahara.
*Mpaka hapo ada yako ya semina itakuwa imeisha, ila semina itakuwa inaendelea*๐๐
SIKU YA NNE: BIASHARA: NYENZO MUHIMU YA KUONGEZA KIPATO CHAKO MARA MBILI ZAIDI NDANI YA MWAKA MMOJA
Kuanzisha biashara yako – wazo na mkakati
Usimamizi wa biashara na ukuaji wa kipato
Mbinu za kujiongezea mauzo na mapato
Kutambua fursa za kukua na kupanua biashara yako
Kupima mafanikio na kutengeneza mkakati wa baadaye
SIKU YA TANO: MTANDAO WAKO NDIYO UTAJIRI WAKO:
Jinsi ya kujenga mtandao utakaokupa fedha
Mbinu za kuwafikia wateja au watu watakaokuwa tayari kutoa fedha mfukoni kukulipa au kununua bidhaa zako
Biashara ni mahusiano na namna ya kuyajenga
Siku ya SITA: ELIMU YA KIFEDHA: KUDHIBITI NA KUKUZA FEDHA ZAKO
Uelewa wa msingi wa fedha na bajeti
Kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
Kuweka akiba na kuwekeza kwa ufanisi
Kudhibiti madeni na mikopo
SIKU YA SABA: UTAJIRI: MISINGI MIKUU YA KUJENGA UTAJIRI ISIYOYUMBA
Jinsi ya kuandaa utajiri utakaorithishwa mpaka kwa watoto na wajukuu zako
SIKU YA NANE: HITIMISHO
Kama unavyoona, semina hii itakuwa imeshiba kwa siku zote saba, tutajifunza mengi na ambayo yatakusaidia wewe kuweza kupiga hatua na kuongeza kipato chako mara mbili.
Sambamba na hayo mambo makubwa sana ambayo utajifunza gharama ya semina hii itakuwa ni 20,000/- tu.
Unachotakiwa kufanya sasa hivi ni wewe kuthibitisha ushiriki wako kwenye hii semina. Na njia bora ya wewe kuthibitisha ushiriki wako kwenye hii semina ni rahisi sana.
Tuma neno SEMINA, likifuatiwa na jina lako kamili.
Kwenda 0684408755
Kisha taja namna utakavyofanya malipo.
Mfano.
SEMINA, GODIUS RWEYONGEZA
Nitafanya malipo yote kwa pamoja tarehe 10
Au
SEMINA, JOHN MSEMAKWELI
Nitalipia kila mwisho wa wiki 5000/-
Thibitisha ushiriki wako kwenye semina hii sasa.
Kumbuka hii ni semina ya mtandaoni. Na itafanyika tarehe 24 -30 septemba.
Mfumo wa kutoa mafunzo ya semina hii.
Masomo yatatolewa kupitia kundi maalumu la Whatsapp. Yatatolewa kwa njia ya maandishi na sauti pia. Hivyo, kama utakuwa umebanwa na huwezi kusoma, utakuwa unapata nafasi ya kupata somo la siku hiyohiyo kwa mfumo wa sauti. Waliowahi kusikiliza audiobooks zetu wanajua namna ambavyo audiobooks zetu huwa zinakuwa ๐ฅ ๐ฅ.
Tutakuwa na kundi special la whatsap. Kwenye kundi hili utaungwa tu punde baada walau nusu ya gharama ya semina
Gharama ya semina ni 20,000/- tu. Na inalipwa kupitia 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Kwa kipindi chote cha semina, masomo yatakuwa yanatolewa mapema kabla ya saa 11 alfajiri. Utapata muda mzuri wa kusoma au Kusikiliza somo la siku husika. Baada ya kusoma somo hilo, utaruhusiwa kuuliza maswali.
Jioni saa 1-2 tutakuwa tunakuwa na mjadala wa pamoja.
Hii itakuwa ni kwa siku zote saba za semina.
Kiukweli. Naam, kiukweli, itakuwa na semina bora sana kuwahi kutokea!
One response to “Hii nidyo sababu kuu kwa nini unapaswa kuhudhuria semina ya kuongeza kipato chako mara mbili mwaka huu”
[…] Masomo mengine muhimu: Hii nidyo sababu kuu kwa nini unapaswa kuhudhuria semina ya kuongeza kipato chako mara mbili mwaka h… […]