Uwekezaji Kwenye Hisa vs Uwekezaji Kwenye Maeneo Mengine


Pata hiki kitabu kwa 20,000 hardcopy na 10,000 softcopy

Ukilinganisha uwekezaji kwenye hisa na vipande na uwekezaji maeneo mengine kama ardhi, Vito vya thamani….n.k ukweli ni kwamba, uwekezaji kwenye hisa ni rahisi Kwa MTU yeyote kuanza.

Unaweza hata kuanza kumiliki kampuni Kwa mtaji mdogo.
Unaweza kuwekeza kidogo kidogo.

Ili ufanye uwekezaji kwenye nyumba, unahitaji mamilioni ya pesa ila kuwekeza kwenye hisa, unaweza KUANZA na hisa kumi tu,

Swali linabaki kuwa je, hisa kumi ni sawa na shilingi ngapi?

Nikiiangalia kwenye soko la HISA, bei za Jana zinaonesha kuwa hisa zilizouzwa Kwa bei kubwa sana ni hisa za TCC ambazo bei yake ni 16,200

Na hisa za bei ya chini ni za TTP ambazo bei yake ni 120

Hisa za kampuni nyingine zipo katikati hapa

Mfano hizo hisa 10 za TCC unaweza kuzimilili Kwa 162,000. NA hisa kumi za TTP ni 1200

Lakini huwezi kumiliki nyumba kiasi hichohicho.

Hivyohivyo kwenye vipande. Kwa Sasa mfuko Wenye vipande vya bei ya juu ni mfuko wa UMOJA ambapo kipande kimoja bei yake ni 937.7959

Na kipande chenye bei ya chini ni kipande Cha mfuko wa FAIDA. Ambapo kipande kimoja bei yake ni 106.3648

Mifuko mingine bei zake zipo katikati hapo.

Na kwenye mifuko hiyo mwili niliyoongelea hapo, unaweza KUANZA kuwekeza kwenye hiyo mifuko Kwa elfu Kumi TU.

Ili uwekeze kwenye soko la hisa kwa mafanikio unapaswa kuwa na maarifa sahihi.

Anza Kwa kununua kitabu HIki Cha MAAJABU GA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI na VIPANDE.
Gharama yake ni 20,000/- tu kwa hardcopy.
Na 10,000 kwa softcocpy

Kupata kitabu hiki lipia. 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

Utatumiwa kitabu hiki tu ounde baada ya kufanya malipo.


One response to “Uwekezaji Kwenye Hisa vs Uwekezaji Kwenye Maeneo Mengine”

  1. […] UWEKEZAJI (INVESTING MODE ACTIVATED). Huu mwaka huu, usirembe mwandiko linapokuja suala zima la uwekezaji. Zembea sehemu nyingine lakini usizembee kwenye uwekezaji. Ufanye uwekezaji kuwa kipaumbele kwako ndani ya huu mwaka. Yaani, kila unapopokea fedha, kipaumbele chako cha kwanza kiwe ni kufanya uwekezaji. Na hata baada ya kuwa umeweza kufanya uwekezaji, kiasi kingine ambacho kitabaki, ondoa matumizi yoyote yale ambayo siyo ya lazima ili fedha nyingi uweze kuielekeza kwenye uwekezaji.SOMA ZAIDI: Uwekezaji Kwenye Hisa vs Uwekezaji Kwenye Maeneo Mengine […]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X