๐๐ฟ๐๐ฟWakati unajipanga kwa ajili ya hiki kipindi Maalumu cha kufungua mwaka 2024. Hakikisha pia unajiandikisha kwa ajili ya semina ya kufungua mwaka 2024.
Taarifa kamili ya semina ya kufungua mwaka 2024 hii hapa๐๐ฟ
www.songambele.co.tz/semina
Ni semina ya mwezi mzima.
Venue: Whatsapp
Ada ya semina ni 30,000/-
Malipo yanafanyika kwa namba ya simu: 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Ukishalipia mapema TU tunawasiliana ili uweze kuungwa kwenye kundi la whatsap la semina .
Kwa Sasa unaweza kujiunga kwenye kundi la mapokezi hapa๐๐ฟ
https://chat.whatsapp.com/CAdCnW82i8N0clD2fDvn7v
Mwaka 2024 ndiyo huu hapa, lengo lako kuu ni lipi? Au unamwachia Mungu?
Enewei tukutane kwenye TEMINO YA CLOUDS FM baadaye Leo kuanzia saa Tisa jioni mpaka saa Kumi na moja
Cheers!
Godius Rweyongeza
www.songambele.co.tz
Morogoro-Tz