Rafiki yangu…………….
Moja ya kitu ambacho ninapokea karibia kila siku, ni ombi la watu wakiniomba vitabu mbalimbali vya kiingereza. Wapo wanaoomba niwatafutie hivi vitabu kwa njia ya mtandao, halafu niwatumie.
Sasa kitu kimoja ninachojua ni kwamba, nikipakua kitabu nikakutumia, ninakuwa sawa na mtu ambaye nimekupa samaki. Unajua ninaposema kwamba ninakuwa kama mtu ambaye nimekupa samaki ninamaanisha nini?
Ili unielewe vizuri tuanze na usemi wa kihenga unaosema kwamba;
Give a man a fish, and you feed him for a day; show him how to catch fish, and you feed him for a lifetime.
Ikiwa inamaanisha kuwa;
Mpe mtu samaki, nawe utamlisha kwa siku moja; mwonyeshe jinsi ya kuvua samaki, nawe unamlisha maisha yake yote.’
Sasa mimi sitaki nikulishe kwa siku moja kwa kukupa samaki
Nataka ujue kuvua..
Siyo tu ujue kuvua, bali ujue kuvua na uwe na bwawa lako mwenyewe ambapo utaweza kuvua bila bughudha.
Ndiyo maana, nimeamua kukuandalia kozi fupi tu, inayokuonesha namna ya kupakua vitabu mtandaoni.
- Ina njia ya uhakika
- Imetumiwa na watu zaidi elfu moja kwa mafanikio. Ukiitumia wewe pia utafanikiwa pia
- Ni rahisi kufanyia kazi.
- Ni njia ambayo utaitegemea kwa miaka yako mingi inayokuja. Nimekuwa naitumia kwa zaidi ya miaka sita sasa. Itumie kwa manufaa yako pia.
Kupata njia hii na mengine zaidi. Utapayapata kupitia kozi hii fupi ambayo nimeandaa.
Kujiounga na kozi hii fupi, utalipia kiwango cha shilingi elfu kumi tu. Na ukwlei ni kuw autaotoka kiasi kikubwa sana kwa kujiunga na kozi hii ya kipekee. Unachotakiwa kufanya sasa ni kujiunga na hii kozi.
Lipia elfu kumi,
Lipia kwa namba ya simu; 0684 408 755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA