Hata kutunza familia ni uwekezaji. Ila uwekezaji baba ambao unapaswa kufanya mara zote ni
1. KUWEKEZA KWENYE biashara. Huu ni uwekezaji Muhimu ambao Kila mmoja anapaswa kuufahamu. Sote tunamfahamu Warren kama mwekezaji Bora kuwahi kutokea, ila ukweli ni kuwa Warren Buffett siyo TU mwekezaji kwenye solo la HISA,Bali amewekeza kwenye biashara yake.
Hivyo, WEKEZA kwenye biashara
Anzisha biashara, endesha biashara Yako, KUZA BIASHARA Yako.
Ukiwa na biashara unaweza kufanya karibia chochote unachotaka.
Unaweza KUWEKEZA KWENYE biashara nyingine zaidi. Unaweza KUWEKEZA KWENYE soko la HISA n.k
Hivyo, Anza KUWEKEZA KWENYE biashara kama ulikuwa hujaanza. Huku ukiendelea na mpango wako wa KUWEKEZA KWENYE soko la HISA na hasa Kwa kuanzia KUWEKEZA KWENYE VIPANDE
Kama ungependa ushauri zaidi kuhusu uwekezaji. Tafadhali wasiliana nami Kwa 0655848392
Karibu sana