Utajiri ni haki yako ya msingi


Utajiri ni asili lyako, hivyo usiogopeshwe na wala usidanganywe na mtu yeyote anayekwambia kwamba utajiri siyo saizi yako au siyo kitu unachopaswa kuwa nacho.

Fursa za kuwa tajiri zipo kwa usawa kwa kila mmoja. Zitumie hizo fursa vizuri haswa.

Utajiri hauna ubaguzi.

Haumpendelei mmoja na kumbagua mwingine. Unatoa fursa kwa usawa kwa watu wote

Unapawa kuupenda utajiri na wenyewe utakupenda maana kitu ambacho hukipendi hakiwezi kukupenda hata kidogo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X