Kuna kanuni ya miezi sita kwenye biashara ambayo wafanyabiashara wengi hawaifahamu.
Ni kanuni muhimu ambayo kama mfanyabiashara unapaswa kuifahamu. Kutoifahamu kanuni hii kutakuponza sana Kanuni hii inasema kwamba, ukianza kufanya biashara, ndani ya miezi sita ya kuanza biashara kuna watu wengine wataanzisha biashara kama hiyo.
HII kanuni inafahamika kama kanuni ya copy cat. ikimaanisha kwamba baada ya miezi sita kuna watu watakuwa wanafnaya biashara kama ya kwako uliyoanza kufanya baada ya miezi sita.
Kuna watu watazalisha bidhaa kama hizo miezi sita baada ya wewe kuwa umeanza kufanya uzalishaji.
Kwa hiyo hakuna kitu unachofanya kwenye biashara yako ambacho kipo salama ambacho watu hawatakuja kukifanya Sasa unafanyaje kujitofautisha Kitabu hicho hapo Ni 20,000/- tu Lipia kwa 0684408755 sasa Nakala laini ni 10,000/- Namba ya malipo ni 0684408755 JINA ni GODIUS RWEYONGEZA