Karibu Kwenye Programme Ya Uandishi (CHUO CHA WAANDISHI)


Karibu kwenye programme ya uandishi (CHUO CHA WAANDISHI)

Hii Ni programme maalumu kwa ajili yako wewe unayetaka kujifunza uandishi wa vitabu, makala pamoja wewe unayetaka kuandika (historia ya maisha yako).

Je, wewe ni mtu wa aina hii, basi soma kwa umakini hapa ili uweze kung’amua mambo mengi mazuri kwa ajili yako!

Kozi hii inaendeshwa kwa njia ya mtandao chini ya mwandishi mahiri wa vitabu Godius Rweyongeza. Godius Rweyongeza ameandika vitabu zaidi ya 20, na kwa siku nyingi sasa amekuwa akisadia watu mbalimbali kuandika na kukamilisha vitabu vyao. Watu wengi wamenufaika na kile ambacho amekuwa anawaelekeza kuhusu uandishi.

Hiki kitu kimefanya watu wengi zaidi wapende kujifunza zaidi, huku wengine wakimwomba awafundishe na kuwaelekeza watu wao wa karibu ili na wao waweze kuandika.

Kwa kuwa hii ni huduma ambayo watu wengi wanataka kupata, ameona arahisishe upatikanaji wake, ili na wewe uweze kunufaika na program hii ambayo mwanzoni ilikuwa ni kwa ajili ya watu maalumu.

Godius Rweyongeza ameamua kutoa nafasi chache tu kwa walio tayari ili aweze kuwasimamia mwenyewe kwenye safari yao ya uandishi. Na yale yote ambayo amekuwa akifundisha waandishi waliofanikiwa anaenda kukuelekeza na wewe unapoianza safari yauandishi wako.

Programu hii ya uandishi inajulikana kama JIFUNZE UANDISHI, ambapo lengo lake ni moja, kukufanya wewe kuwa mwandisho mbobevu.

Endapo utajiunga na progamu hii utaweza

  1. Kupata nafasi ya kuwa karibu na GODIUS RWEYONGEZA mwenyewe kwa kipindi chote cha program ambacho ni mwaka mzima.
  2. Godius Rweyongeza atapitia maandiko yako na kukupa mrejesho wa kitalaam baada ya kuwa amesoma maandiko yako. Kitu hiki kitakufanya uzidi kuwa bora zaidi kwenye eneo la kuandika.
  3. Siyo hilo tu, endapo utajiunga na program hii utapata kuwa karibu na waandishi wengine wanaoandika. Ndiyo umesoma vizuri hapo, utapata kuwa karibu na waandishi wanaoandika. Nakwambia hivi kwa sababu kuna watu wanajiita waandishi ila wenyewe hawajahi kuandika hata kitu kimoja. Sasa endapo utajiunga na hii program maana yake na wewe unaenda kuwa mwandishi ambaye anaandika.
  4. Halafu nilitaka kusahau kukwabia, habari njema ni kuwa utasimwmiwa kwenye kuandika kitabu chako mpaka kikamilike. Utajisikiaje kama wewe utaweza kuandika kitabu chako kikamilika.
  5. Na utapewa kitabu cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU bure kabisa

Sasa unachotakiwa kufanya ili uweze kunufaika na program hii ni wewe kuthibisha ushiriki wako kwenye hii program., na kujiunga kwenye program hii ni rahisi sana.

Ada yake ni 250,000 kwa kipindi chote cha programme (mwaka mzima)
Namba ya malipo ni 0755848391.
NB: Usilipie kabla hujaongea na mhusika kkwa namba ya simu 0678408755 li athibishe kwamba nafasi ipo. Maana watu wengi wanashambulia hizi nafasi.

Kumbuka kwenye hii programme utachagua kujifunza kitu kimoja kati ya hivi hapa

1.Uandishi wa makala
2.Uandishi wa vitabu
3.Uandishi wa WASIFU ( autobiography)
Wewe kati ya hivyo ungependa kupata usimamizi wa karibu kwenye vipi


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X