Kitabu Hiki Kinahusu Nini?


Mara kwa mara napokea maswali kuhusu kitabu Cha MAAJABU YA KUSOMA VITABU. Maswali haya yanatokabkwa wale ambao hawajakisoma na wanapenda kujua kwa ufupi kinahusu Nini?

Unaamzaje kumweleza mtu juu ya kitabu kilichosaidia maelfu ya watu KUJENGA tabia ya ya KUSOMA vitabu?

Nadhani kwa ufupi kitabu hiki kinaeleza

NGUVU YA KUSOMA VITABU na JINSI vitabu vinavyoweza kukuinua.

JINSI vitabu vinavyoweza kukusaisia kuongeza THAMANI Yako.



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X