Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani!


Asanteni na hongereni nyote kwa kujituma na kujitolea kila siku katika kazi na majukumu mnayofanya.

Nyie ndiyo mnafanya taifa letu kuzidi kuwa Bora zaidi. Juhudi zenu zinathaminiwa sana na zinastahili pongezi kubwa mno!

Tunathamini sana mchango wenu katika ufanisi maendeleo ya nchi yetu. Hongera kwa kazi nzuri mnayofanya! ๐ŸŽ‰

Leo Nina OFA Kwa ajili Yako wewe mfanyakazi Bora kuwahi kutokeaโœ…โœ… Pata vitabu hivi Kwa 20,000/-

1: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO

2: VYANZO VINGI VYA KIPATO

3: MAAJABI YA KUWEKA AKIBA.

4: JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA ILI ufungue milango mipya ya fursa na mafanikio katika maisha yako ya kazi.

Kupitia ujuzi mpya na ufahamu, tunaweza kujenga jamii yenye nguvu zaidi na maisha bora kwa kila mmoja wetu.

Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi* Kupata nakala hizi, Lipia 20000 upate Soft copy zote nne. Namba ya malipo ni 0684408755: GODIUS RWEYONGEZA ๐Ÿ‘๐Ÿผ๐Ÿ‘๐Ÿผ


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X