Tatizo si rasilimali zilizopotea: Tatizo ni rasilimaliwatu tunaowapoteza


Tatizo si rasilimali zilizopotea, ni kitabu ambacho kimeeleza kwa kina kuwa changamoto, matatizo au kitu chochote kile ambacho unapitia, chanzo chake siyo rasilimali zilizopotea, walizoiba wazungu au hata zinazopotea sasa hivi.


Tatizo kubwa ni rasilimaliwatu tunaowapooteza sasa hivi. Tunawapotezaje? Na nini kinatakiwa kufanyika sasa hivi?
Tuingie ndani kwenye hiki kitabu ili twende sawa.
Kila la kheri

Gharama ya nakala hii ni 25,000/- TU.

Kuipata ni rahisi TU.
Lipia 25,000/- tutakutumia nakala Yako sasa hivi bila ya kuchelewa


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X