Rafiki yangu salaam.
Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku chache zilizopita tulizindua kozi fupi tu ambayo inakuwezesha wewe kupakua kitabu chochote kile mtandaoni.
kwa kozi hii fupi, maana yake huu ndiyo unakuwa ni mwisho wa wewe kuendelea kulipia hela ili utumiwe kitabu chochote cha KIINGEREZA. Ni kozi fupi ambayo unaweza kujifunza muda wako wowote wa ziada na kuielewa,. Halafu habari njema zaidi ni kwamba kozi hii fupi unalipia kiasi kidogo tu ukilinganisha na kozi nyingine fupi.
Naam, unalipia kiasi cha shilingi 10,000/- tu.
LIPIA SASA KIASI HIKI CHA SHILINGI ELFU KUMI TU. LIPIA KWA NAMBA YA SIMU AMBAYO NI 0684 408 755
Karibu sana.