Unataka kuwa na mwanzo wa kushangaza kuelekea mafanikio? “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” kitabu kilichoandikwa na Godius Rweyongeza kina vitu 33 ambavyo unaweza kuanza kufanyia kazi leo!
Sura ya Tano inafichua vitu hivi muhimu na jinsi ya kuvifanyia kazi.
Pata mbinu za kujenga tabia bora na kuanza kuchukua hatua mara moja.
Anza safari yako ya mafanikio kwa kufanya mabadiliko madogo yenye athari kubwa.
Bei: Tsh 25,000/-
Lipa kwa Airtel Money kwa namba 0684408755, jina: GODIUS RWEYONGEZA. Chukua hatua kubwa leo! Nunua kitabu na pambana na vitu vyako 33 kuelekea mafanikio. #HatuaYaKwanza #NguvuNaMafanikio