Upo tayari kubadili mtazamo wako?


Upo tayari kubadili mtazamo wako?Mtazamo wako ni mmoja ya kitu MUHIMU unachopaswa kubadili. Usispobadili mtazamo wako, hutabadili MAISHA Yako

 

1. Badili mtazamo wako kwenye jukumu la MAISHA Yako.

Fahamu wazi kuwa MAISHA ni Wajibu wako, ukishindwa ni juu Yako, ukishinda ni juu Yako.

Usisubiri watu wengine watimize Wajibu ambao unakuhusu wewe 2. Badili mtazamo wako kwa kufanyia kazi Yale ambayo wewe umekuwa unapanga kufanya kazi, badala tu ya kukaa ukitakani kufanyia kazi vitu Fulani, ingia ulingoni kabisa na ufanyie kazi Yale ambayo unapaswa kuyafanyia kazi.

3. Badili mtazamo wa kuanza kuweka akiba na KUWEKEZA. Kiasi unachoweka kama AKIBA Leo, hata kama ni kidogo, kitakupeleka oakubwa hapo baadaye. 

4. Badili mtazamo wako kwa kuanza kujifunza kwa watu waliojenga utajiri. Ni kwa namna hiyo, utaweza kujenga utajiri pia.

 

Salaam, 
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X