Nitaifanya kesho anajua ndoto za watu wengi. Ukweli ni kuwa huwezi kuendelea kusema kwamba nitaifanya kesho badala ya kuchukua hatua na kufanya kitu Leo.
Muda mzuri wa kufanya jambo lako na kulifanikisha ni Leo.
Chukua hatua Sasa.
Utajishukuru kesho kuwa Leo uliweza kuchukua hatua kuliko ambavyo utajilaumu.
Uwe na siku njema
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro; Mafiga Tenki Bovu
One response to “Hiki Kitu Ambacho Kinaua Ndoto Zako Kwa Ukubwa”
Napenda kujiunga na uwanja huu kwa ajili ya kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali kwani vitabu huongeza maarifa zaidi.