Kama Unataka Kuandika Kitabu Njoo Nikusaidie Kufanikisha Haya Haraka


Wewe niletee kitabu chako TU, nami nitakusaidia

  1. Aidha kukiandika
  2. Kukupa mwongozo wa namna ya kukiandika vizuri na Kwa weredi.
  3. Kukihariri
  4. Kukichapa n.k

Kwa masuala yote yanayohusiana na uandishi wa vitabu. Nicheki Sasa Kwa namba ya simu 0755848391 Ili tumalize mchezo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X