Njia rahisi sana ya kuandika kitabu ndani ya mwaka mmoja?


Tupige hesabu kidogo

Ukiandika maneno 100 Kila siku, Kwa mwaka ni maneno 36,500. Hiki ni kitabu tosha.

Unadhani maneno 100 ni mengi. Ujumbe wa leo una maneno 48 TU!

Unadhani unashindwa maneno 100 Kila siku.
Fikiria sms unazotuma
Comment unazoweka Whatsapp,
Facebook n.k

Bado unadhani huwezi?

Njoo tukusaidie kuandika na tukupe mwongozo wa kuandika Kitabu Chako.
Tuwasiliane Kwa 0755848391

Karibu


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X