-
Nukuu 15 Za Kufikirisha
2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15.
-
Muda mzuri wa kupanda mti ilikuwa ni miaka 10 iliyopita…muda mwingine mzuri zaidi ni sasa
Wahenga wanasema kwamba muda mzuri wa kupanda mti ulikuw ani maiaka 10 iliyopita, na muda mwingine mzuri zaidi ni sasa. Chukua hatua sasa.
-
Njia ya kukusaidia kufanya makubwa
rafiki yangu mpendwa, wengi wamekuw awnatamani kufanya makubwa kwenye msiah ayo. hata hivyo, siyo waote wamekwuwa wanaishia kufanya makbwa. Mjaya sababu kwa nini watu wengi hawawezi kufanya makubwa ni kwa sababu hawajui kitu kimoja u, ambacho nimekieleza zaidi kwebye kitabu hiki.
-
Mtag ambaye ungependa ujumbe huu umfikie
Kwenye vipindi mbalimbali vya redio huwa kuna kipindi cha kutuma salamu na ujumbe. Kama kuna mtu ambaye leo hii ungependa ujumbe huu umfikie mtag hapa ili aje auone. UWE NA SIKU NJEMA
-
Hiki Ndiyo Kiwango cha mafanikio ambayo unapaswa kuyapigania
/ Rafiki yangu aliwahi kuniambia kwamba kuna wakati aliangalia tamthiliya. Kwenye tamthilya hii kuna jamaa aliachwa na mke wake. Mke alimwacha kwa sababu jamaa hakuwa na hela. Badala ya kukimbilia kuingia kwenye mahusiano mengine ili amuoneshe ex wake kwamba hajamkomoa kwa kuachwa. Jamaa aliamua kuanza kupambana ili kujenga biashara na kuzisaka hela. Akapambana kwelikweli kiasi…
-
Kitu Hiki Unapaswa Kukibadili Mara Moja
Moja ya siku ambayo watu huwa wanaadhimisha ni siku ya kuzaliwa. Ukiachana na sikukuu ya kuzaliwa kuna sikukuu maarufu sana ambazo huwa tunaadhimisha, ikiwa ni pamoja na Eid, Pasaka, Krismasi, Mwaka mpya na nyingine.. Ukiziangalia hizi sikukuu zote zina kitu kimoja ambacho kinaziunganisha. Hizi sikukuu zote huwa zinatokea kwa sababu ya kalenda. Ni sikukuu za…