-
Nukuu 13 Za Zufikirisha
01: 2″: 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13.
-
Upo tayari kuambiwa ukweli?
Rafiki yangu wa ukweli. Kama unaishi kwenye hii dunia, moja ya kitu ambacho huwezi kukikwepa ni watu kukusema. watu wanaweza kukusema kwa mazuri au kwa mabaya. Moja ya kitu ambacho kamwe haupaswi kuogopa ni kusemwa. Kwenye hii dunia, kila mtu anasemwa, marehemu tu anasemwa, sasa wewe uliye hai unadhani itakuwaje? Kama hakuna mtu yeyote anayekusema,…
-
Ni Kitu Gani Kimoja Ambacho Unaenda Kukifanya Wiki Hii Nzima Mfululizo Bila Kuacha
Leo ni jumatatu nzuri sana. Na kwa kuwa ni mwanzo wa wiki, una nafasi nzuri ya kuitumia siku ya leo kuchagua kitu kimoja ambacho utakifanya kwa msimamo wiki hii bila kuacha. Kama wewe ni mwandishi, wiki hii unaweza kujiwekea utaratibu wa kuandika kwa wiki nzima bila ya kuwa na sababu yoyote ambayo inakuzuia wewe usiandike.…