Umeandika kitabu chako kwenye simu na ungependa kukipanga kwa haraka ili kujua kina kurasa ngapi? Karibu sana kwenye video ya leo ambayo ninaenda kukueleza namna ya kufanya hivyo pamoja na mengine zaidi.
Bonyeza hapa kuitazama
Rafiki yangu kuna mafunzo mengi zaidi ambayo huwa natoa kwenye audio na mafunzo haya unaweza kuyafuatilia zaidi kwenye youtube hapa.