UNAMUONA DADA HUYO?
Wengi huwa likija suala zima la kuandika kitabu huwa wanapenda kuniuliza kuwa ni wapi wanaweza kupata wazo la kuandika kitabu.
NImekuwa nikieleza mara kwa mara namna ya kupata wazo la kuandika kitabu.
Na moja ya njia ambayo unaweza kutumia kwenye kupata wazo la kuandika kitabu ni ikama alivyofanya huyo dada hapo juu.
Yaani, mazingira na matukio ambayo yanatokea unaendana nayo hivyohivyo
Kwa dada huyo ambaye ni dancer, kitendo cha yeye kukutwa na kadhia ya kuanguka, amegeuza hiyo kuwa mwendo mpya wa kucheza. HIvyo hivyo kwangu mimi na wewe.
matukio yanayotokea kwenye mazingira yetu yanaweza kugeuzwa kuwa chanzo cha kuandika.
tunaweza kuyatumia kuandika kitabu, makala au andiko
lolote ambalo tunaona kwamba linafaa. Hivyo, usiogope rafiki yangu. kuwa utapata wapi wazo la kuandika. wazo la kuandika unalo hapo.
Dada huyo amepata wazo la kutengeneza mwenendo mpya wa kucheza kutokana na tukio la kutaka kuanguka.
Na mimi nimepata wazo la kuandika makala hii baada ya kuangalia video yake
wewe pia unaweza kupata wazo la kuandika kitabu chako kutokana na makala hii.
Kama bado unajiuliza uandike nini, usiwe na wasiwasi, hakikisha unapata kitabu cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU, unaweza kujipatia nakala yako popote pale ulipo kwa shilingi 30,000/- tu.
Au unaweza kujipatia pakeji nzima ya vitabu vya uandishi.
Pakeji hii inahusisha vitabu vifuatavyo.
1. JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU
2. SEHEMU KUU MUHIMU ZA KILA KITABU
3. ANDIKA KITABU CHAKO KAMA SMS
4. MWANDISHI NI MUUMBAJI
Hii ni pakeji kamili ya vitabu vya uandishi ambayo unapaswa kuwa nayo. Kuipata ni rahisi sana. Tuwasiliane kwa 0655848392
Hivi ni vitabu ambavyo unapaswa kuhakikisha kwamba unavipata.