Rafiki yangu, tukiamia kwamba tunataka kufanikiwa. Hatuna mbafala wa Hilo. KITU pekee kinachotakiwa ni sisi tupambane mpaka USHINDI ufikiwe.
Hakuna mbafala wa USHINDI.
Kama tunapaswa kufanya mazoezi zaidi, basi tutafanya mazoezi zaidi. Ila USHINDI ni LAZIMA.
Kama tunatakiwa kujitoa tutafanya hivyo, maana USHINDI ni LAZIMA.
Siku ya Leo, jiulize ni USHINDI Gani wa lazima ulio mbele Yako? Upambanie sasa. Kumbuka. USHINDI ni LAZIMA.
SOMA ZAIDI: NI LINI HUWA TUNASEMA MTU AMEANZA KUPATA USHINDI?